11 views
5 months ago General
Mabadiliko mapya ya bei ya mafuta yaliyotangazwa na halmashauri ya kudhibiti sekta ya kawi na mafuta nchini (EPRA) yamezua maoni tofauti kutoka kwa wabunge na wadau wa usafiri. Baadhi ya wabunge wanaounga mkono serikali wamemtetea Rais William Ruto wakisema ongezeko hilo limetokana na mvutano unaoendelea kati ya Marekani na Iran. Hata hivyo, viongozi wa upinzani wameilaumu serikali kwa kuingiza siasa katika suala la bei ya mafuta.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive