358 views
1mo ago
Watu watano wamefariki, huku wengine wanane wakipata majeraha mabaya , baada ya matatu waliyokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limekwama katika barabara kuu ya Nakuru-Eldoret, mapema leo asubuhi. Ajali hiyo iliyotokea katika eneo la Twin Bridge , ambalo limetambulika kuwa eneo hatari. Madereva wamehimizwa kuwa waangalifu wanapotumia barabara kuu pamoja na kupunguza kasi ya magari yao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive