5 views
1 month ago General
Wakazi wa kijiji cha Ng’iitakito mjini Lodwar kaunti ya Turkana wanatoa wito kwa serikali ya kaunti kuwasaidia baada ya zahanati yao kuteketea. Wanataka vituo vya kuzungushwa vya matibabu kuletwa ili kuhakikisha huduma zinaendelea kama kawaida kwa vile zahanati hiyo inahudumia zaidi ya vijiji 42.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive