263 views
2 months ago General
Mtu mmoja ameaga dunia na wengine wapatao 46 kujeruhiwa kufuatia ghasia zilizotokea jana wakati wa mkutano wa hadhara wa Linda Mwananchi huko Homa Bay, huku wengine saba wakiripotiwa kuwa hali mahututi. Ghasia hizo pia zilisababisha uharibifu wa mali huku magari kadhaa yakiteketezwa na kanisa moja kushambuliwa huku kiwango kamili cha uharibifu wa mali kikibainika baada ya kundi hilo kuondoka mjini Homa Bay.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive