21 views
2 months ago General
Watu watatu waliotoroka kutoka gereza laKamiti wamehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kila mmoja baada ya Mahakama ya Kahawa kuwapata na hatia ya kutoroka kutoka kizuizi halali chini ya sheria ya Kuzuia Ugaidi. Hakimu mwandamizi Gedion Kiage aligundua kuwa watatu hao, Musharaff Abdala, Abikar na Joseph Juma Odhiambo walikuwa na hatia ya kosa hilo baada ya upande wa mashtaka kutoa ushahidi wa kuaminika kuthibitisha kesi hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive