22 views
2 months ago General
Kazi ya ujenzi wa madarasa 40 yaliyoahidiwa na Rais William Ruto katika Shule ya upili ya Maseno mnamo mwezi Mei mwaka huu imeanza. Akiongoza sherehe ya uzinduzi wa shughuli hiyo, mwenyekiti wa Chama cha wanafunzi wa zamani wa Shule hiyo, Joe Ager, pamoja na usimamizi wa shule hiyo, walitaja hatua hiyo kuwa muhimu zaidi katika malengo mapya ya kuboresha shule hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News