11 views
2 months ago General
Huduma za ardhi katika eneo la Ruiru, kaunti ya Kiambu zinatarajiwa kuboreshwa kufuatia ufunguzi wa kitengo cha usovoyeya katika afisi za usajili wa ardhi mjini Ruiru. Hatua hiyo inatarajiwa kulainisha shughuli za ununuzi na uuzaji wa ardhi katika eneo hilo kupitia kuwekwa pamoja kwa huduma muhimu za ardhi na kupunguza muda ambao wananchi hutumia wakitafuta huduma hizo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive