21 views
2 months ago General
Safari ya kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 imeanza rasmi baada ya tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) kuchapisha rasmi kwenye gazeti la serikali ratiba itakayoongoza mchakato wa uchaguzi. Katika tangazo hilo, tume hiyo imeelekeza kuwa maafisa wote wa umma wanaotaka kuwania uchaguzi huo wajiuzulu kutoka kwenye nyadhifa zao za umma kufikia tarehe 10 mwezi Februari mwaka 2027.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive