20 views
2 months ago General
Serikali imesema kwamba imesuluhisha mzozo wa muda mrefu wa ardhi wa Cheluget katika kaunti ya Narok, na hivyo kukomesha mzozo uliodumu kwa miongo mitatu uliozifanya maelfu ya familia kukabiliwa na tishio la kufurushwa. Serikali imetwaa umiliki wa ardhi hiyo na kusema kuwa hati miliki za kibinafsi sasa zitatayarishwa kwa familia zinazoishi kwenye ardhi hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive