6 views
2 months ago General
Waziri wa leba, Alfred Mutua anawahimiza Wakenya kutilia maanani malengo ya taifa ya ustawi ya muda mrefu akisema taifa hili halina budi kujiandaa kwa maendeleo baada ya kukamilika kwa muda wa utekelezaji wa ruwaza ya mwaka 2030. Akiongea kwenye uwanja wa maonesho wa Jamhuri, Mutua alisema macho ya Wakenya sasa yanaangazia ruwaza ya mwaka 2060 na akawahimiza vijana kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kudhibiti kesho ya taifa hili.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive