6 views
2 months ago General
Rais William Ruto amesema wakati umewadia kwa taifa hili kuendelea kutoka mahali ambapo ruwaza ya maendeleo ya mwaka 2030 iliyozinduliwa na hayati rais Mwai Kibaki imefikisha taifa hili. Kiongozi wa taifa alisema haya katika ikulu ya Nairobi alipokutana na waumini wa kanisa la Friends, aliposema kwamba nchi hii lazima ishikamane na kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu mustakabali wa taifa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive