10 views
2 months ago General
Mchungaji katika kaunti ya Kiambu ameliweka neno takatifu la kila Jumapili kwenye kiwango kipya baada ya kubadilisha eneo la stendi ya matatu kuwa kanisa wazi pamoja na kuwa kituo cha kuwahudumia waliozama katika dimbwi la uraibu wa pombe. Kila Jumapili, mchungaji Godfrey Kagondu anahubiri neno la Mungu, akilidondoshea matone ya matumaini kundi la watu ambao wamefanya uamuzi wa kutokomeza unywaji wa pombe na matumizi ya mihadarati maishani mwao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive