22 views
2mo ago General
Viongozi wa kidini kutoka madhehebu mbalimbali wanawahimiza wanasiasa kuhakikishi kampeni zao za uchaguzi mkuu ujao zinaangazia masuala muhimu na sera badala ya kuchochea machafuko na migawanyiko ya kikabila humu nchini. Wakizungumza jijini Nairobi wakati wa kuadhimisha siku ya Hussein mwaka 2026, viongozi hao walionya kwamba ongezeko la uhuni wa kisiasa, ukiwemo ufadhili wa wahuni na magenge ya uhalifu, unatishia uchaguzi huru na wa haki.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive