8 views
2mo ago General
Wakazi wa eneo la Ndulule katika eneo bunge la Mosop, kaunti ya Nandi wanadai haki kufuatia kifo cha mlehemu mwenye umri wa miaka-47, Sammy Kipkosgei Lagat, ambaye alipatikana akiwa amefariki katika mazingira ya kutatanisha viungani mwa mji wa Mosoriot ambako alikuwa akifanya kazi. Kwingineko matabibu wanaogoma katika kaunti ya Makueni wameapa kuendelea na mgomo wao hadi matakwa yao yatakaposhughulikiwa . Taarifa kamili ni kwenye mseto wa magatuzi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive