591 views
2 months ago General
Manusura wa matatu iliyosababisha vifo vya watu wanane na kuwaacha wengine zaidi ya 40 wamejeruhiwa siku ya Ijumaa jioni huko Kalamba kaunti ya Makueni sasa wanadai kwamba injini ya matatu hiyo ilizima na kusababisha ajali hiyo. Matatu hiyo ilikuwa ikisafarisha jamaa na marafiki kutoka Nthongoni huko Kibwezi mashariki kuelekea eneo la Maumba huko Ikangavya kwa sherehe ya utoaji mahari wakati ajali hiyo ilitokea.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive