7 views
3mo ago General
Upande wa upinzani umezomea madai ya baadhi ya wabunge kuwa walipokea hongo ili kuunga mkono kuondolewa kwa aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua. Upinzani unasema kwamba, madai hayo yanaibua maswali mazito ya kikatiba na uhalali wa mchakato mzima. Kwingineko Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua, ameupinga mpango wa rais wa ruwaza ya mwaka 2060, akisema Wakenya wanavutiwa zaidi na hatua zinazoonekana zinazotatua changamoto zao za sasa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive