33 views
2 months ago General
Wazazi katika shule ya msingi ya Gwitembe, eneo bunge la Kuria Mashariki katika kaunti ya Migori, wametoa wito kwa serikali kuingilia kati na kukarabati miundo msingi ya shule hiyo iliyoharibika. Wazazi hao wamesema wanafunzi wanalazimika kusoma katika mazingira yasiyo salama, huku baadhi ya madarasa yakiwa na wadudu ambao ni tishio la afya na hivyo kuathiri viwango vya elimu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive