117 views
3 months ago General
Seneta wa kaunti ya Kitui Enoch Wambua amekanusha madai kwamba kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka anafanya mazungumzo ya kujiunga na serikali ya Kenya Kwanza. Wambua alisema badala yake, Kalonzo anashauriana na wenzake wa muungano wa upinzani ili kubainisha mwaniaji mmoja atakayepeperusha bendera yao katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Haya yanajiri huku chama cha Jubilee kikikanusha uvumi kwamba Kalonzo amehamia upande wa serikali.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News