21 views
3 months ago General
Shinikizo zinaongezeka kwa mashirika ya serikali ya uchunguzi kuwanasa viongozi wanaoeneza siasa zenye jumbe za chuki kufuatia mjadala mkali katika bunge la kitaifa leo alasiri. Wabunge walinyooshea kidole cha lawama tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano (NCIC) wakitaka hatua za kisheria kuchukuliwa dhidi ya viongozi hao wanaojihusisha na uenezaji wa jumbe cha chuki zinazotishia umoja wa kitaifa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive