8 views
3 months ago General
Wakulima wa tumbako huko Kuria magharibi kaunti ya Migori wamedai kuwa kampuni moja ya kigeni ya tumbako haijawalipa licha ya wao kuiuzia zao hilo.Kulingana na wakulima hao,hawajapokea malipo yao tangu mwaka 2023,hatua ambaya imewaacha wakulima wengi na changamoto wa kifedha.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive