15 views
3 months ago General
Mahakama ya ajira na mahusiano ya wafanyakazi jijini Nairobi imetoa amri ya kusimamisha migomo ya kitaifa ya wafanyikazi wa safari za angani iliyopangwa kuanza siku ya jumatatu. Hii inawadia baada ya mashirika ya ndege ya Kenya Airways na Jambo Jet Limited kuwasilisha kesi mahakamani ili kuzuia mgomo uliopangwa wa wafanyakazi wa safari za angani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive