9 views
3mo ago General
Shirika la Utangazaji nchini KBC liko katika mchakato wa mwisho wa kulipa ada zinazodaiwa na mpango wa pensheni ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni moja. Mwenyekiti wa Mpango wa Pensheni wa Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji nchini Martin Kingasia, amesema shirika hilo limeonyesha kujitolea katika kulipa ada hizo, jambo ambalo linaweza kufanywa kabla ya mwisho wa mwezi Agosti mwaka huu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive