11 views
3 months ago General
Miito ya kukabiliana na ufisadi wakati wa uchaguzi pamoja na uongozi wa maadili ilitawala sherehe ya mwaka huu siku ya kimataifa ya kupambana na ufisadi barani Afrika iliyoadhimishwa jijini Nairobi. Tume ya maadili na kupambana na ufisadi iliunga mkono rasimu za kanuni za ufadhili wa kampeni za uchaguzi inayoongozwa na tume ya IEBC, ikisema itasaidia katika kupambana na rushwa pamoja na vishawishi wanatolewa kwa wapiga kura.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive