69 views
3mo ago General
KIFO CHA MWANAFUNZI SHULENI
Familia moja huko Thika, katika kaunt ya Kiambu, inaomboleza kifo cha jamaa wao wa miaka 16, kilichotokea baada ya kile kinachodaiwa kuwa mvutano kati yake na mwenzake, katika shule ya upili ya Thika. Kifo cha mvulana huyo wa gredi ya 10, kimeibua maswali kuhusu usalama shuleni, huku polisi wakianza uchunguzi kuhusu kilichosababisha kifo cha mtoto huyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive