12 views
3 months ago General
Wakazi wa kijiji cha Rwamburi huko Ndeiya wametoa wito kwa juhudi za haraka kufanywa kukabili visa vinavyokithiri vya watu kujitoa uhai.Hayo yanajiri kufuatia ripoti kwamba wanaume watatu wamejitoa uhai kwenye kijiji hicho katika muda wa mwezi mmoja uliopita.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive