286 views
4 months ago General
Kamanda wa Polisi wa eneo la Nairobi, Issa Mohamud, ametangaza kuwa mkutano wa kumbukumbu wa Gen Z na maandamano yaliyopangwa kufanyika kesho ni kinyume cha sheria. Akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa Polisi, eneo la South C, Mohamud alifichua kuwa polisi hawajapokea notisi yoyote rasmi kuhusu mikutano au maandamano hayo, ambayo ni sharti la lazima kwa mujibu wa sheria.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive