18 views
4 months ago General
Awamu ya tatu ya kampeni ya Jijue Jibetter ambayo inahusisha mjazo wa fomu za kumbukumbu za malipo ya ushuru ilikamilisha shughuli zake katika kaunti ya Trans Nzoia. Msafara huo wa halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini KRA kwa ushirikiano na shirika la utangazaji nchini KBC uliwahamasisha walipaji ushuru kuhusu haja ya kujaza fomu zao kwa wakati unaofaa kupitia mpango wa kibinafsi unaompa anayejaza fursa ya kujaza fomu hiyo kwa kutumia simu ya mkononi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive