142 views
4 months ago General
Kenya na Afrika kusini zimeahidi kuimarisha mahusiano ya biashara, uwekezaji na udiplomasia kufuatia mashauriano ya ngazi ya juu baina ya rais William Ruto na mwenzake wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa jijini Pretoria. Viongozi hao wawili wametoa hakikisho la kujitolea kwao kupanua ushirikiano wa kiuchumi, kushughulikia vikwazo vya biashara na kuimarisha ushirikiano katika sekta za udumishaji amani na usalama kote barani Afrika.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive