38 views
4 months ago General
Serikali imefutilia mbali uwezewkano wa kungeza gharama ya umeme kufuatia malalamishi ya wananchi na wadau. Waziri wa kawiOpiyo Wandayi amesema ada za sasa za umeme zitadumishwa isipokuwa ikiwa zitabadilishwa kupitia taratibu za kisheria kuambatana na sheria ya kawi. Wandayi anasema uamuzi huo ulifikiwa kufuatia mashauriano na wadau wa sekta ya kawi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive