40 views
4 months ago General
Katibu katika idara ya magereza humu nchini Salome Beacco amelalamikia ufadhili finyu kutoka kwa wizara ya fedha wa kukarabati magereza. Beacco aliiambia kamati ya uhasibu wa fedha za umma kwenye bunge la kitaifa kuwa kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita, idara hiyo imetatizika kuendesha shughuli zake kutokana na uhaba wa fedha huku hali hiyo ikisababisha kudorora kwa majengo mengi ya magereza humu nchini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive