83 views
4 months ago General
Hatma ya wanafunzi tisa wanaohusishwa na mkasa wa moto katika shule ya upili ya wasichana ya Utumishi itajulikana hapo kesho. Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu ombi la upande wa mashtaka la kuwazuilia kwa siku 30 ili kuruhusu uchunguzi zaidi kufanyika kuhusu kisa hicho kilichosababisha vifo vya wanafunzi 16. Wanafunzi hao tisa walifikishwa katika mahakama ya Naivasha na wanatarajiwa kushtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kuchoma mali na mauaji.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive