13 views
5 months ago General
Wakenya wamesalia na siku 28 kabla ya tarehe ya mwisho ya 30 mwezi Juni kwa kuwasilisha taarifa zao za ulipaji ushuru, huku halmashauri ya ukusanyaji ushuru KRA ikiondoa uwezekano wa kuongeza muda huo. KRA imesema kuanzishwa kwa majukwaa mbalimbali ya kuwasilisha taarifa hizo kumewawezesha walipa ushuru kufikia huduma hizo kwa urahisi. Halmashauri hiyo pia imetoa wito kwa wakenya kutumia mpango wa kujihudumia binafsi kuwasilisha taarifa hizo kupitia nambari maalum ya WhatsApp au ujumbe mfupi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive