26 views
5 months ago General
Takriban shule 11 katika maeneo bunge mawili ya Kaunti ya Baringo zimeathiriwa na kuongezeka kwa viwango vya maji katika maziwa Baringo na Bogoria, hali iliyovuruga shughuli za masomo na kuwaweka wanafunzi katika hatari ya kushambuliwa na mamba na nyoka. Katibu wa elimu ya msingi, Julius Bitok, amesema kuwa wizara ya elimu inashirikiana na viongozi wa maeneo hayo pamoja na wadau wa elimu kutafuta suluhu ya changamoto hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive