21 views
5mo ago General
Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Wajir , wametoa wito kwa serikali kuwekeza zaidi katika sekta ya elimu na pia kuimarisha asilimia 100 ya mpito kwa wanafunzi. Aidha viongozi hao walielezea kusikitishwa kwao na hali duni ya viwango vya elimu katika eneo hilo, wakisema kuwa watoto wengi bado hawajajiunga na shule na badala yake wamejihusisha na ufugaji.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive