9 views
5 months ago General
Rais William Ruto amewahakikishia wakazi wa Kilifi kwamba utawala wake utakomesha dhuluma za ardhi za muda mrefu na masuala ya wamiliki wa mashamba wasioyatunza, hali ambayo imewafanya wakazi wengi kuishi kama maskwota katika eneo hilo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive