40 views
5 months ago General
Shinikizo zinaendelea kuongezeka kwa serikali kushughulikia ongezeko la bei za mafuta ili kupunguza mzigo wa gharama ya maisha nchini unaozidi kuongezeka. Mbunge wa Manyatta, Gitonga Mukunji, ni miongoni mwa wale wanaopendekeza kuondolewa haraka kwa ushuru ziada wa thamani (VAT) kwenye bidhaa za petroli, huku baadhi ya wadau katika sekta ya uchukuzi wa umma wakisisitiza kuwa wataandamana.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive