25 views
5 months ago General
Serikali imetangaza mipango ya kuimarisha msako dhidi ya ghasia za kisiasa kote nchini ili kuhakikisha uchaguzi unafanyika bila changamoto zozote mwaka ujao huku wasiwasi ukiibuliwa kuhusu uhuni wa kisiasa. Waziri wa usalama wa taifaKipchumba Murkomen aliyezungumza huko Cherangany, kaunti ya Trans Nzoia alisema kuwa pande zote mbili za kisiasa hazitasazwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive