15 views
5 months ago General
Rais William Ruto amewaambia viongozi wa kanisa wasiombe radhi kwa yeyote kwa kuunga mkono azma yake ya kuwania urais kwenye uchaguzi wa mwaka 2022 akisema kuwa amebadili uchumi, elimu, afya na sekta nyingine muhimu humu nchini. Kwenye mkutano na viongozi wa kidini kutoka kaunti ya Bungoma rais pia aliwahimiza wawasihi afuasi wao wajisajili kuwa wapiga kura kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive