20 views
5 months ago General
Wakazi wa Kaunti ya Laikipia hivi leo walistahimili mvua na kibaridi ili kulainisha rekodi zao na halmashauri ya ukusanyaji ushuru humu nchini KRA. Licha ya hali hiyo ya hewa, mamia ya walipa kodi walipata usaidizi kutoka kwa wafanyikazi wa KRA kuwasilisha marejesho yao ya kodi kupitia mpango mpya wa kujihudumia.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive