19 views
5 months ago General
Benki ya Cooperative imejipatia faida ya shillingi billioni 8.4 katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza yam waka huu ambayo ni nyongeza ya faida ya hadi asilimia asilimia 21.3.Faida hiyo ilitokana na nyongeza ya asilimia 12.2 ya jumla ya mapato hadi shilling billioni 15.98.Kwa habari hizi na zigine hapa ni mkusanyiko wa habari za biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive