9 views
1 month ago General
Chama cha watengenezaji dawa nchini kimeipokea miongozo bora ya Ufamasia, kikisema itasaidia katika kufafanua majukumu pamoja na wigo wa utendaji wa wataalamu tofauti wa maduka ya kuuzia dawa. Chama hicho kimesema miongozo hiyo ni muhimu katika kulinda usalama wa mgonjwa, kikihoji kwamba wafamasia kama wataalamu wana wajibu wa kuelekeza pamoja na kusimamia huduma za dawa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive