8 views
1 month ago General
Wakazi wa kaunti ya Kiambu waliojawa ghadhabu waliandamana kulalamikia uuzaji wa pombe haramu katika maeneo jirani. Maandamano hayo yanajiri huku kukiwa na ongezeko la wasiwasi kuhusu madhara ya pombe haramu ambayo yamewafanya watu kadhaa kulazwa hopitalini katika kaunti za Kiambu na Murang’a na familia moja ikiomboleza kifo cha mwanamme mmoja wa umri wa miaka 35.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive