2 views
1 month ago General
Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku ametetea pendekezo lake la kugawa eneo la Mlima Kenya kuwili. Ruku alifika mbele ya tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano leo kujitetea kuhusiana na madai ya kutoa semi za uchochezi. Waziri Ruku atafahamu uamuzi wa tume hiyo kuhusu madai hayo katika kipindi cha wiki moja ijayo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive