151 views
1 month ago General
Makachero wamefanikiwa kuwakamata washukiwa watatu zaidi wanaohusishwa na mauaji ya Dkt. Victoria Nthunya Mutiso akiwemo konstebo wa polisi aliyenaswa nchini Uganda. Katika taarifa, idara ya uchunguzi wa kesi za jinai ilisema kukamatwa kwao kutasaidia katika kesi hiyo na kulitokana na ushirikiano baina ya makachero jijini Nairobi na wale wa Kampala.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive