45 views
1 month ago General
Shughuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi huko Mombasa, uwanja wa ndege wa Kisumu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi zimevurugwa leo kufuatia mgomo wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini-KAA na wale wa Mamlaka ya Usafiri wa angani na kuwaacha abiria wamekwama huku safari zao za ndege zikicheleweshwa kwa hadi saa tatu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive