6 views
1 month ago General
Siku ya kimataifa ya waathiriwa waliotoweka kwa njia tatanishi iliadhimishwa hii leo huku familia mbili huko Ruai zikiwa hazina taarifa zozote kuhusiana na kutoweka kwa wapendwa wao. Dennis Chege na Kalani Mwema walionekana kwa mara ya mwisho wakati wa kilele cha maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024. Familia zao zinaendelea kutaka haki ipatikane, zikitafuta majibu ya maswali kuhusu ni yapi yaliyojiri na ni kwa nini uchunguzi wa polisi haujafumbua fumbo la kule waliko wapendwa wao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive