29 views
2 months ago General
Shirika la msalaba mwekundu likishirikiana na wanaharakati wa usalama barabarani wametoa wito kwa serikali na asasi husika kutathmini upya sheria za trafiki na kudhibiti kasi ya magari mjini kutoka kilomita 50 kwa saa hadi kilomita 30 kwa saa. Washirika hao wanadai kwamba, mwezi juni, halmashauri ya uchukuzi na usalama barabarani iliripoti visa 2150 vya vifo barabarani kote nchini, asilimia 39 ikiwahusisha watembeji.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive