7 views
2 months ago General
Tume ya kukabili ufisadi nchini ya EACC,imewakamata washukiwa watatu kuhusiana na madai ya wizi wa shilingi milioni 4.8 zilizotengwa kwa ununuzi wa mitambo ya umeme ya Transformer katika eneo bunge la Igembe kaskazini.Fedha hizo zilizotengwa chini ya hazina ya kitaifa ya ustawi wa maeno bunge katika mwaka wa matumizi ya kifedha wa 2014/2015,kwa ajili ya ununuzi wa mitambo sita ya transformer.Uchugnuzi hatahivyo ulionyesha kuwa mitambo hiyo haikuwahi kununuliwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive