28 views
3 months ago General
Kesi imewasilishwa kwenye mahakama kuu ikitaka kupigwa marufuku kuchezwa kwa muziki kwenye magari ya uchukuzi wa umma,huku mlalamishi akisema tabia hiyo inakiuka haki za kikatiba za abiria.Wakili Samwel Barongo Nyamari ameshtaki chama cha wenye matatu,halmashauri ya uchukuzi na usalama barabarani,halmashauri ya uhifadhi wa mazingira nchini ya NEMA pamoja na mkuu wa sheria akitaka mahakama kuagiza kusitishwa kwa uchezaji wa muziki kwenye matatu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive