8 views
3 months ago General
Maafisa wa polisi wamehimizwa wawekeze katika elimu ya juu ili kuimarisha uwezo wao wa utekelezaji shughuli na utaalamu kutokana na vitisho vya usalama vinavyobadilika kila uchao. Ujumbe huo ulikaririwa kwenye hafla iliyoandaliwa kwa heshima ya Superintendent mkuu wa Polisi Grace Kamau, aliyefuzu kwa shahada ya uzamifu kutoka kwa chuo kikuu cha Kenyatta.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive